Mwanamke apigwa mawe hadi kufa Somalia

. . Hakuna maoni:


Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa mawe
nchini Somalia na kundi la wanamgambo wa Al
Shabaab.


Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo
gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga
mawe mwanamke huyo kwenye mji wa Barowe.
Mwanamke huyo wa umri wa miaka 30 alikuwa
ameshutumiwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Wadadisi wanasema kuwa mauaji hayo ini ishara
ya ushawishi wa kundi la Al shabaab hata baada
ya kushambuliwa na serikali ya Somalia pamoja na
vikosi vya muungano wa Afrika.
Mji wa Barowe ambao uko umbali wa kiomita 200
kutoka mji mkuu Mogadishu umekuwa ngome ya
Al Shabaab.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu